Valu Valu – Dr. Jose Chameleone (2012)

Lyrics

It’s been a long, long time (long, long time)Paddy producer, audio one, come in
Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime
Kutoka tulipo kutanaSija wai kufikiria tuta’achanaLakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sanaUpendo gani na sikuoni baby?Upendo gani hupatikani honey?Upendo gani huniamini baby?Valu, valu, valuUpendo gani na sikuoni baby?Upendo gani hupatikani honey?Upendo gani huniamini baby?Valu, valu, valu, valu
Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime
Uliemyafuta ulisha pataAnaekupenda sana usiwai kataMimi na we, twende wote kwote unatakaTukae, tule, tunywe ujue mi nilisha dataWasikudanganye eti sina uwezoNinao, na sio mchezoMbona kunipa mawazoHamua, hamua, hamua baby
Wasikudanganye eti sina uwezoNinao, na sio mchezoMbona kunipa mawazoHamua, hamua, hamua, valu, valu, valu
Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu, valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime
Moyo wako ufungueUpendo wa ukweli uje uingieNacho omba kama niko na weweUtaratibu pekee baby tuendele
Mimi na we, tuwe wote wa mileliMimi na we, mileli na mileli you ma babyMimi na we, nijali nami nitakujali, mimi na weMimi na we, tuwe wote wa mileliMimi na we, mileli na mileli you ma babyMimi na we, nijali nami nitakujaliMimi na we oh, na wewe
Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime
Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime
(Visited 60 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 + nineteen =

<