Jamila – Dr. Jose Chameleone (2005)

Lyrics

Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila aliponza kuongeaAliongea na maumivu mingiNavile ali’kua anaongeaNikamuonea huruma
Ati walianza penzi boraSiku nyingine harudi nyumbaniKumuuliza kama amepata mwengineAkamfungia virago
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Sijui nitamsaidiaje?Jamila nimwambie afanyeje?Nitamupa kitanda, chakula akuleLakini mambo ya mapenzi naogopa
Zamani mimi nae tulishindanaNikapata muke akapata bwanaSasa analia Chameleone nifanyaje?Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia?
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa
Sijui nitamsaidiaje?Jamila nimwambie afanyeje?Nitamupa kitanda, chakula akuleLakini mambo ya mapenzi naogopa
Zamani mimi nae tulishindanaNikapata muke akapata bwanaSasa analia Chameleone nifanyaje?Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh
Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupaJamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake –
(Visited 132 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

three × one =

<