Beka unavyo beka kama mtoto Ntakubembeleza mi ni wako, oh Nita zidi kukupa vitu moto moto Mapenzi kupendana sii mchezo Na-kusi, hi usije naja mimi solemba Najisihi na mimi in sijapata wewe solema Tunavyo hi, shi wanandhani tunadanganyama Sii rahisi, amini mimi na wewe tukatengana
Usiende mbali nami Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Usiende mbali nami Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda
Tangu niko na wewe ni furaha Kukosa tosa nikaraha Una wewe siwezi ishi Kwako mi sio mbishi, hey hey hey Wanapiga misele kila mara Wanatimua mavumbi sisi twala Wanaotaka mapinduzi Na mapinduzi hawayawezi, ooh ooh Ma, umivu ya mapenzi naogopa sana Hata wivu ninao kani sina roho ya chuma Na, kusihi usije niache mimi solemba-aa Nagisi, na mimi nisije kuwacha wewe solemba
Usiende mbali nami Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Usiende mbali nami Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda
Usiende mbali nami Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda Usiende mbali nami (hey, yeah yeah) Kwa mi bado nakupenda Usondoke mbali nami Mimi bado nakupenda
Nakupenda manipenda usija penda mbali nami (oh maama) Nakupenda manipenda usija penda mbali nami Usiende-eeeh Kwa mi bado nakupenda Usondoke-eeeeeh, hey yeah yeah Mimi bado nakupenda Usondoke eh-eh-eh-eh-eh-eh-eh-eh-eeeh Kwa mi bado nakupenda Usondoke eh-eh-eh-eh-eh-eh-ehe-eh-eeeh Mimi bado nakupenda
Nakupenda Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda we hey he-eh Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda we hey eh-eh Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda we hey eh-eh (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda we hey eh-eh (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda sana (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda we hey eh-eh (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Hey hey hey hey (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda usiende mbali Oh oh oh oh, oh mbali na mi (Nakupenda manipenda usija penda mbali nami) Nakupenda manipenda usija penda mbali nami Nakupenda manipenda usija penda