Tubonge – Dr. Jose Chameleone (2013)

Lyrics

Tubonge, Chameleone naombaTubongeMungu Baba, We long ye’Gospel time now… ooh Lord
Nina wewe wa kweliKatika wote ninae ni weweAnae nipenda kamiliBila kipimo unanipenda hakuna kiasiNingependa nikuone nikupeVyote vyangu, nikupe chochoteUnachotaka chochote upateLakini sina namna ya ku kupata
Ungekua na faasi una ishiAta ingekua mbali vipiNingekuja nikuone weweUngekua na nambari ya simu facebook au twitterLakini hata sura yo uli ificha!
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, I don’t know what to do, to doAm waiting for you
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli
Huu rafiki yangu nimempa sasa tuzoAna siri zangu nyingi siogopi matesoHao wabishi hawanitishi na mawazoNinae, Ninae…Mlinzi wangu sasa mi sitaki fujoNikiwa nae siogopi vya devilPaddy man ongeza bass na trebleNimtaje kama ninaimba tangazo
Ungekua na faasi una ishiAta ingekua mbali vipiNingekuja nikuone weweUngekua na nambari ya simu facebook au twitterLakini hata sura yo uli ificha
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, I don’t know what to do, to doAm waiting for you
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli
Tubonge, Chameleone naombaTubongeMungu Baba, We long ye’Gospel time now… ooh Lord
Njoo nikupe chochote unatakaHatujakutana mi nakufuataNjo nikukaribishe kwanguNjo nikupikie chakula tamuNaomba nikuonyeshe na watoto wanguNjo nikuonyeshe baba na mama wanguNikuonyeshe marafiki zanguNami, na moyo wangu
Ungekua na faasi una ishiAta ingekua mbali vipiNingekuja nikuone weweUngekua na nambari ya simu facebook au twitterLakini hata sura yo ulificha
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, I don’t know what to do, to doAm waiting for you
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, I don’t know what to do, to doAm waiting for you
Njoo, nimesubiri sana lini tutaonanaNjoo, rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli
(Visited 129 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × four =

<