Jamila – Dr. Jose Chameleone (2005)
Lyrics Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila aliponza kuongeaAliongea na maumivu […]