Mama Rhoda – Dr. Jose Chameleone Ft. Bushoke (2005)
Lyrics Akomawo mwenda (Mama Rhoda) Oluusi natadda (Mama Rhoda) Akomawo mwenda (Mama Rhoda) Oluusi natadda (Mama Rhoda) Verse 1 (Bushoke) Ata kama ungekua hunpendi mimi, ungenieleza Kuliko kuniacha hivi maskini, ninateseka Rhoda analia, anasema umemuacha Na mimi ninalia, Mama Rhoda umenitupa! Chorus 2x Mama Rhoda, umeniacha ah Mama Rhoda, utanikumbuka ah Verse 2 (Chameleone) Ungesema […]