Jamila – Dr. Jose Chameleone (2005)

Lyrics Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila aliponza kuongeaAliongea na maumivu […]

Champion – Dr. Jose Chameleone (2018)

Lyrics Linger Linger Linger Linger away Linger Linger everything gonna be well Rinex Chameleone now be well Power Productions Producer Ronnie Linger Linger Linger Linger away This time all everything gonna be well Lord have mercy Have inspiration from me Yenze abakubira emiziki ne munyumirwa Million Mpuuba bbendera border to border Champion Mukwano gw’abangi bampita […]

Shida Za Dunia – Dr. Jose Chameleone (2005)

Lyrics Rafiki yangu alikuja nyumbani,Kunielezea shida Fulani,Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,Mke wake amemutoroka,Rafiki zake wanamcheka,Shida amepata nyingi amechoka,Dunia anajuta. Acha kulia, shida za dunia,Hebu tulia mungu anakujali pia, x2Maisha mwendo ni pole,Ukipata shida leo usikonde,Wengi wako kama wewe usijali,Acha kulia ni Maisha makali,Tazama kwanza uone kesho,Usikonde uwape kichekesho,Maisha itakuwa na matatizo,Uombe mungu,Atakupa uwezo, […]

Valu Valu – Dr. Jose Chameleone (2012)

Lyrics It’s been a long, long time (long, long time)Paddy producer, audio one, come in Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime Kutoka tulipo kutanaSija wai kufikiria tuta’achanaLakini, tulivopendana hueleweki […]

Mama Mia – Dr. Jose Chameleone (2001)

Lyrics HĂ©, hĂ©, hĂ©Oli, oli, oh Tumezaa na wewe watoto wananeSasa waniwachaUnasema umechoka na mimi masikiniSasa wanitupaNiende wapi? Na nifanye nini?Watoto wanalia huko nyumbaniLakini hizo mambo ni za dunianiUme weka raha mbele, wewe uni oni, NjokiMbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKama na figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki wewe Mimi ndiyo mpenziUsitupe eti […]

Tubonge – Dr. Jose Chameleone (2013)

Lyrics Tubonge, Chameleone naombaTubongeMungu Baba, We long ye’Gospel time now… ooh Lord Nina wewe wa kweliKatika wote ninae ni weweAnae nipenda kamiliBila kipimo unanipenda hakuna kiasiNingependa nikuone nikupeVyote vyangu, nikupe chochoteUnachotaka chochote upateLakini sina namna ya ku kupata Ungekua na faasi una ishiAta ingekua mbali vipiNingekuja nikuone weweUngekua na nambari ya simu facebook au twitterLakini […]
<