Mama Mia – Dr. Jose Chameleone (2001)
Lyrics Hé, hé, héOli, oli, oh Tumezaa na wewe watoto wananeSasa waniwachaUnasema umechoka na mimi masikiniSasa wanitupaNiende wapi? Na nifanye nini?Watoto wanalia huko nyumbaniLakini hizo mambo ni za dunianiUme weka raha mbele, wewe uni oni, NjokiMbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKama na figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki wewe Mimi ndiyo mpenziUsitupe eti […]