Sivyo Ndivyo – Professor Jay Ft. Dr. Jose Chameleone (2007)
Lyrics Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo) Eh! tusaidiane kwenya raha na shidaUsimdharau mwenye nja kwakua we umeshibaMaisha safari ndefu sio elewekaLeo […]
Jamila – Dr. Jose Chameleone (2005)
Lyrics Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila aliponza kuongeaAliongea na maumivu […]
Champion – Dr. Jose Chameleone (2018)
Lyrics Linger Linger Linger Linger away Linger Linger everything gonna be well Rinex Chameleone now be well Power Productions Producer Ronnie Linger Linger Linger Linger away This time all everything gonna be well Lord have mercy Have inspiration from me Yenze abakubira emiziki ne munyumirwa Million Mpuuba bbendera border to border Champion Mukwano gw’abangi bampita […]
Shida Za Dunia – Dr. Jose Chameleone (2005)
Lyrics Rafiki yangu alikuja nyumbani,Kunielezea shida Fulani,Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,Mke wake amemutoroka,Rafiki zake wanamcheka,Shida amepata nyingi amechoka,Dunia anajuta. Acha kulia, shida za dunia,Hebu tulia mungu anakujali pia, x2Maisha mwendo ni pole,Ukipata shida leo usikonde,Wengi wako kama wewe usijali,Acha kulia ni Maisha makali,Tazama kwanza uone kesho,Usikonde uwape kichekesho,Maisha itakuwa na matatizo,Uombe mungu,Atakupa uwezo, […]
Valu Valu – Dr. Jose Chameleone (2012)
Lyrics It’s been a long, long time (long, long time)Paddy producer, audio one, come in Bila valu valu babyNaomba mi na wewe tuweAchana valu valu darling, naleli ye, na leli yoSina valu valu babyNataka mi na wewe tuweAchana valu valu darling, je t’aime, je t’aime, je t’aime Kutoka tulipo kutanaSija wai kufikiria tuta’achanaLakini, tulivopendana hueleweki […]