Jamila – Dr. Jose Chameleone (2005) Herman Nnyanzi 2226 Videos 0% 132 Views 0 Likes December 7, 2022 MusicAfro beat MusicAfro DancehallVideo playlists By Herman Nnyanzi 0 Comments Screenshots Lyrics Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila aliponza kuongeaAliongea na maumivu mingiNavile ali’kua anaongeaNikamuonea huruma Ati walianza penzi boraSiku nyingine harudi nyumbaniKumuuliza kama amepata mwengineAkamfungia virago Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Sijui nitamsaidiaje?Jamila nimwambie afanyeje?Nitamupa kitanda, chakula akuleLakini mambo ya mapenzi naogopa Zamani mimi nae tulishindanaNikapata muke akapata bwanaSasa analia Chameleone nifanyaje?Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Muda mrefu Jamila hatuonaniPenzi gani imekuleta kwangu nyumbani?Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama?Jamila alipokaa aka’anza kuliaOh, nakushindwa kuongeaAta mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Sijui nitamsaidiaje?Jamila nimwambie afanyeje?Nitamupa kitanda, chakula akuleLakini mambo ya mapenzi naogopa Zamani mimi nae tulishindanaNikapata muke akapata bwanaSasa analia Chameleone nifanyaje?Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupaJamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh)Jamila analia (ah-ha), bwana wake – (Visited 132 times, 1 visits today) Show more Afrobeat SongsJose ChameleoneJOSE CHAMELEONE Afro beatJose Chameleone biographyJose Chameleone careerJose Chameleone carsJose Chameleone concertsJose Chameleone houseJOSE CHAMELEONE latestJOSE CHAMELEONE MusicJose Chameleone net worthJose Chameleone RnBJOSE CHAMELEONE songsJOSE CHAMELEONE UgJOSE CHAMELEONE UgandaJOSE CHAMELEONE videosJose Chameleone VocalistJose Chameleone wifeUgandan AfrobeatUgandan MusicUgandan music videosUgandan songsUgandan Vocalist PREV Balance – Chozen Blood (2022) Edward K Ssenoga December 7, 2022 NEXT Mama Mia – Dr. Jose Chameleone (2001) Herman Nnyanzi December 7, 2022 Related articles 0 Healing in your Wing Joseph Aheebwa May 7, 2024 0 Nimezidiwa – Kayumba Ft Mr Blue (2023) Miiro Allan July 19, 2023 0 Fake Friends -Yemi Alade (2023) Miiro Allan July 19, 2023 0 J Hus – Militerian ft. Naira Marley (2023) Miiro Allan July 19, 2023 0 TONIGHT – Patoranking (2023) Miiro Allan July 19, 2023 0 Ogaranya – Adekunle Gold (2023) Miiro Allan July 19, 2023 0 One More Time – Kenny Sol feat. Harmonize (2023) Miiro Allan July 18, 2023 0 Chekecha RMX – Karole Kasiita ft Vinka and Winnie Nwagi (2023) Miiro Allan July 18, 2023 1 Only Girl – Sheebah (2023) Miiro Allan July 18, 2023 Playlists Have This Video Dr. Jose Chameleone Video Playlist Herman Nnyanzi December 7, 2022 LEAVE YOUR COMMENT Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked * Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Please enter an answer in digits:8 − seven = Δ