Bei Kali – Dr. Jose Chameleone (2002)

Lyrics

Anapenada Vitu vya bei kali
Kama hajui ati sina mali
Ananiomba vitu vya bei kali
Nikiwa sina yeye hanijali
1
Kutano lakwanza ilikua Mombasa
Rohoni nilisikia nimempata sasa
Kumbe hata yeye Alininoki pia
Jioni tukaenda pamoja out for a beer
Nilishanga alinza kuomba whisky
Na vinyaji vya bei bila kua tipsy
Niliamua twenda dance floor tucheze
Akakata ati hapendi nyimbo za lingala
Repeat Anapenada Vitu vya bei kali
Kama hajui ati sina mali
Ananiomba vitu vya bei kali
Nikiwa sina yeye hanijali
2
Siku nyingine alikuja kampala
Tuka’anza kutafuta hotel ya kulala
Nikampeleka hotel inje ya Kampala
Hio ndio nilkua naweza lipia
Tukafikepo akaanza kunicheka
Nakusema ati sheraton kuko better
Nikatafuta rafiki yangu anisaidie
Kwa bahati mabaya ata yeye nilimkosa
Repeat Anapenada Vitu vya bei kali
Kama hajui ati sina mali
Ananiomba vitu vya bei kali
Nikiwa sina yeye hanijali
3
Nilpanga tuende pamoja kigali
Tukale Hepi sababu nilikua na mali
Akafurahika penzi ltu kufika mbali
Kumbe kuenda kigali ndio ilikua hatari
Nilimpeleka restaurant akakata ugali
Ati hawezi kula alikatazwa Daktari
Nilijifanya mjinga kama simjali
Kumbe kesho namtoroka nimwache Kigali!
Repeat Anapenada Vitu vya bei kali
Kama hajui ati sina mali
Ananiomba vitu vya bei kali
Nikiwa sina yeye hanijali
4
Muape fasi Kampala-Uganda Muape fasi
Muape fasi Daresalaam-Bongo Muape fasi
Kigali-Rwanda ndabakunda nimuze tubyine
Olobi ndenge nini bana Congo bapewe fasi
Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kenya yote wape fasi
Sita sahau Burundi Bujumbura wote wape fasi
Amuka basi umepewa fasi amuka basi
Amuka ndugu umepewa fasi amuka basi
Kampala mulungi nyo naye ajjudde abateesi
Kampala muzuri sana naye ajjudde abateesi
Atooba bakaye, nange nsazeewo nkaaye
Ababylon bakaaye Chamele Nsazeewo nkaaye
Jeff akaaye
Musta ne Twista bakaaye
Chamele Nkaaye, ne chaga yaga yo akaaye
Fenna Tukaaaye
Repeat Anapenada Vitu vya bei kali
Kama hajui ati sina mali
Ananiomba vitu vya bei kali
Nikiwa sina yeye hanijali

(Visited 80 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen + 20 =

<